6/recent/ticker-posts

DKT. MWIGULU AKAGUA UHARIBIFU OFISI YA MTENDAJI KATA KISESA

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa kata ya kisesa wakati alipokagua Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kisesa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza ambayo iliharibiwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amefanya ukaguzi huo Desemba 05, 2025 alipofanya ziara mkoani humo.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akikagua Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kisesa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza ambayo iliharibiwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amefanya ukaguzi huo Desemba 05, 2025 alipofanya ziara mkoani humo.

Muonekano wa Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kisesa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza ambayo iliharibiwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu amefanya ziara Desemba 05, 2025 ya ukaguzi wa kuangalia madhara yaliyotokana na vurugu hizo.
 

Post a Comment

0 Comments