6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ 2025/2026 Kati ya Chipukizi na Polisi Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Polisi Imeshinda Mchezo huo kwa Bao 1-0

Mchezaji wa Timu ya Polisi akimpita beki wa Timu ya Chipukizi wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ 2026/2026 Zanzibar, mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Polisi imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.










 

Post a Comment

0 Comments