Kocha Mkuu wa Timu ya KVZ Malale Hamsini akifuatilia na kutowa maelekezo kwa timu yake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2025/2026 na Timu ya Mlandege, mchezo uliyofanyika katika uwanja wa Mao Zedong, katika mchezo huo Timu ya Mlandege imeshinda kwa bao 1-0.
Mchezaji wa Timu ya KVZ akijaribu kumpita beki wa Timu ya Mlandege wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2025/2026 mchezo uliyofanyika katika Uwanja Mao Zedong.katika mchezo huo Timu ya Mlandege imeshinda kwa bao 1-0.







0 Comments