Mchezaji wa Timu ya Cavarious akimpita mchezaji wa Timu ya Zimanoto katika mchezo wao wa Ligi Kanda ya Unguja uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya Zimamoto imeshinda mchezo huo kwa Vikapu 74-53.
Meya ‘Shetta’ kuja na goli la Meya
-
MEYA wa Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal ‘Shetta’, amesema milango ya
ofisi yake iko wazi kwa wasanii na wanamichezo kwa jambo lolote
linaliweza ku...
1 hour ago




0 Comments