Mchezaji wa Timu ya TRA Nassir Kombo ameibuka mchezaji Mwenye Nidhamu katika mchezo wao dhidi ya Timu ya Yanga uliyofanyika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.Timu ya Yanga imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
MASTERCARD YAITAMBUA EXIM BANK TANZANIA KWA TUZO MBILI, IKITHIBITISHA
UONGOZI KATIKA HUDUMA ZA ELITE NA MATUMIZI YA KADI
-
Mastercard leo imefanya ziara yake maalumu katika makao makuu ya Benki ya
Exim Tanzania jijini Dar es Salaam, kuimarisha zaidi ushirikiano wa
kimkakati ka...
6 hours ago


0 Comments