6/recent/ticker-posts

Matukio ya Picha Waziri Mkuu Mhe.Dkt.Mwiguku Nchemba Bungeni Jijini Dodoma

 

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Buchosa, Erick Shigongo, Bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, William Lukuvi, Bungeni jijini Dodoma, Januari 27, 2026.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, Bungeni jijini Dodoma, Januari 27, 2026. 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Mbunge wa Bahi, Kenneth Ernest Nollo, Bungeni jijini Dodoma, Januari 27, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Post a Comment

0 Comments