Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Jezi ya Timu ya Taifa ya mpira wa
miguu ya Wanaume ‘Taifa Strs’ iliyosainiwa na Wachezaji kutoka kwa Nahodha
msaidizi wa Timu hiyo, Bakari Nondo Mamnyeto kwenye hafla ya kuwapongeza
iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Januari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanamichezo mbalimbali,
Ikulu Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kuwapongeza mara baada ya kufanya
vizuri katika Mashindano ya Kimataifa, tarehe 10 Januari, 2026.
.jpeg)

.jpeg)
.jpeg)
0 Comments