Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum akizindua Mfumo wa Usajili wa Diaspora Zanzibar, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwake) Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu Zanzibar Saleh Juma Mussa na (kushoto kwake) Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibar Wanaoishi Nje ya Nchi Dkt.Haji Gora Haji.
Wazanzibar Wanaoishi Ughaibuni (Diaspora) wakifuatilia Uzinduzi wa Mfumo wa Usajili wa Diaspora Zanzibar, wakati Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum, akizindua mfumo huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Jijini Zanzibar.


















0 Comments