Habari za Punde

WASHINDI WA MEIDAY WAKIKABIDHIWA JEZI

AFISA WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI ZANZIBAR (ZATUC) MWATUM KHAMIS AKIPOKEA SETI YA JEZI KUTOKA KWA AFISA WA VODACOM TAWI LA ZANZIBAR MUSSA MSABAHA KWA TIMU ZA NETIBOLI ZILIZOCHUKUWA UBINGWA WA KOMBE LA VODACOM MEIDAY. MAKABIDHIANO HAYO YAMEFANYIKA LEO .
NAHODHA WA TIMU YA BANDARI ZANZIBAR ALI NASSOR AKIKABIDHIWA ZAWADI YAO YA SETI YA JEZI NA AFISA MASOKO NA MAUZO WA VODACOM TAWI LA ZANZIBAR SULEIMAN ALI MILANZI

WADAU WA TIMU SASA MAMBO SAFI KWA UZI HUO NDIVYO ANAVYOSEMA NAHODHA MUSSA FUJO WA TIMU YA HABARI AKIWA NA JEZI

AFISA WA MASOKO NA MAUZO WA VODACOM TAWI LA ZANZIBAR SULEIMAN ALI MLANZI AKIMKABIDHI MOJA YA ZAWADI KWA WASHINDI WA KOMBE LA VODACOM MEI DAY NAHODHA WA TIMU YA HABARI MUSSA FUJO NA KATIKATI KATIBU WA ZFA WILAYA YA MJINI NASSOR JAZIRA MAKABIDHIANO HAYO YAMEFANYIKA KATIKA AFISI YA VODACOM DARAJANI

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.