Habari za Punde

MIDA YA JIONI UNARUDI KATIKA MIHANGAIKO

Unakutana na hawa jamaa mitaa ya Maisara na kizingo tayari wamekuwekea samaki fresh ndio kwanza wamevuliwa kutoka baharini. Ukiwaza bado kitoweo nyumbani hakijapatikana. Bei maelewano ila utahakikishiwa hapaharibiki kitu.
Kama una kumbukumbu yoyote na wauzaji wa aina hii tukumbushe basi mdau

1 comment:

  1. Hii safi sana.
    Inanikumbusha siku hizo nasimama kwenye mivinje upande wa pili na kwenda kununua samaki fresh kwa jamaa hao. Lakini nasikia siku hizi mkule kama huyo hapo bei yake utakimbia. Sasa nani wanaonunua samaki kama samaki ni ghali sana? Na jee ile biashara ya hao jamaa kufukuzana na jamaa wa baraza la mji haipo tena?
    Mdau
    USA

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.