Habari za Punde

DK SHEIN AFANYA MABADILIKO AMTEUA MAKUNGU JAJI WA MAHKAMA KUU, OTHMAN MWANASHERIA MKUU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akimwapisha Othman Masoud Othman kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu. Kabla ya kuteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu, Othman alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka (DPP).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akimwapisha Omar Othman Makungu kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla iliyofanyika leo Ikulu. Omar alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kabla ya kuteuliwa Jaji wa Mahkama Kuu.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.