DK SHEIN AKUTANA NA RAIS WA JUMUIYA YA MAENDELEO YA UCHUMI WA AFRIKA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na Rais wa Jumuiya ya Maendeleo ya uchumi wa Afrika ya Japan Bw Tetsuro Yano alipofika Ikulu leo.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

Post a Comment

0 Comments