WAFANYABIASHARA wa matunda mbalimbali sokoni hapo kuna baadhi ya wafanyabiashara hao hufanya biashara hiyo bila ya kumjali mteja wake kwa kupanga matunda hayo chini wakati huu wa mvua za masika zinaanza kunyesha, inabidi wachukuwe tahadhari ya wateja wao na maradhi ya mripuko hasa katika kipindi hichi cha mvua.
MFANYABIASHARA wa Matunda aina ya Matikiti akishusha bidhaa hiyo sokoni Mwanakwerekwe kwa ajili ya kutafuta wateja, bidhaa hiyo katika soko hilo huwa wakati mwengine adimu kutokana na watumiaji wake kuwa wengi, na tikiti moja huuzwa sokoni hapo shilingi 2000/ na 3000/=.
No comments:
Post a Comment