Habari za Punde

MASHABIKI WA SOKA ZANZIBAR.

 WAPENZI wa Mpira wa Miguu Zanzibar wakifuatilia mechi ya Ligi Kuu ya Zanzibar kati ya KMKM  na Polisi, wakiwa na mpenzi maarufu na Kiongozi wa timu ya Ocein View  Hashim Salum. Super Kibonge.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.