RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi wa Serikali Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, akielekea Nchini Uturuki.
RAIS wa Zanzibarna Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamadi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis, akiwa uwanja wa ndege kabla ya kuanza ziara yake Nchini Uturuki.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar kabla ya kuanza safari yake Nchini Uturuki.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mawaziri waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Kwanza Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad , wakitoka chumba cha mapumziko Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa kujiandaa kupanda ndege kuelekea Nchi Uturuki kwa Ziara ya Kiserikali.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akisalimiana na Wananchi waliofika Uwanja wa Ndege kumuaga akielekea Nchi Uturuki kwa Ziara.
WANANCHI wakimpungia mkono Rais wa Zanzibar alipokuwa akiondoka kuelekea Nchini Uturuki
inapendeza sana kuona hali kama hii watu wote wapo kitu kimoja mungu aijaalie kila kheri zanzibar na azidi kuyeyusha kabisa tofauti zetu ile tufike mbali kwa mafanikio ya nchi yetu pamoja vizazi vijavyo .
ReplyDelete