Habari za Punde

MAMBO YA MTANDAO - MAWASILIANO YA SIMU.

 MAFUNDI wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakitandika waya wa simu katika mitaa ya mji mkongwe Zanzibar ili kuboresha huduma ya mawasiliano katika Visiwa vya Zanzibar.

1 comment:

  1. Shirika gani ? kwani kuna mashirika mengi hapa nchini siku hizi ...

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.