Habari za Punde

DK SHEIN AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika mkutano wa majumuisho ya ziara ya Mkoa huo,mkutano huo ulifanyika katika Chuo cha Amali Mkokotoni
 Viongozi wa Wilaya za Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimasikiliza, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza nao,katika mkutano wa majumuisho ya ziara ya Mkoa huo, ulifanyika katika Chuo cha Amali Mkokotoni leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, katika mkutano wa majumuisho ya ziara ya Mkoa huo,mkutano huo ulifanyika katika Chuo cha Amali Mkokotoni,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais,Balozi Seif Ali Iddi,(kutoka kulia)Waziri wa Kilimo na Maliasili Masour Yussuf Himid,Mke wa makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Seif na Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Pembe Juma Khamis.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.