Habari za Punde

OMAN AIR YAANZA SAFARI ZAKE ZANZIBAR LEO.

 NDEGE ya Shirika la Oman Air ikiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  ikitokea Oman ikiaza safari zake Nchini leo.   
 ABIRIA wa kutoka Oman wakiteremka katika Ndege ya Oman Air baada ya kuwasili Zanzibar leo saa 12.15 Asubuhi ikitokea Nchini Oman.

 WAZIRI wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Hamad Masoud akisalimiana na baadhi ya abiria waliowasili Zanzibar wakitokea Nchini Oman baada ya Shirika hilo kuaza Safari zake hapa Zanzibar
 WAZIRI wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Hamad Masoud  akisalimiana na Rubani wa Ndege ya Oman Air Mehdi Hamoud  Al- Said, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa  Abeid Amani Karume Zanzibar, ikitokea Oman ikiwa ni safari yake ya kwanza leo.     
 ABIRIA wa Oman Air wakitowa Majengo ya Uwanja wa Ndege Zanzibar baada ya kuwasili leo Asubuhi saa 12.15, wakitokea Oman.


 BAADHI wa Abiria wa Oman Air wakijiandaa kupata Ndege kuanza Safari yao Nchini Oman, baada ya Shirika la Ndege la Oman Air kkuaza safari zake Zanzibar leo ikitokea Oman moja kwa moja.   
 ABIRIA  wkipanda katika Ndege  baada ya Oman Air kuaza Safari zake Zanzibar leo ikitokea Nchini Oman. 
 NDEGE ya Shirika la Ndege la Oman Air ikiaza Safari yake Kurudi Nchini Oman kupitia Dar-es- Salaam baada ya kushusha abiria wa Zanzibar baada ya kuwasili Uwanja wa Zanzibar ikiaza Safari zake  Zanzibar.
 BALOZI wa Mgodo wa Oman  Zanzibar Shekh. Majid Ahmeid Al- Laaban akihutubia wakati wa Chakula cha Mchana kilichoandaliwa na Oman Air ikiwa ni sherehe za Uzinduzi wa Shirika hilo kuaza Safari zake Zanzibar Leo.
MKURUGENZI Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar  Ali Halil akiwa na Viongozi wa Oman  
 WANANCHI wakijumuika katika Chakula cha Mchana kilichoandaliwa na Oman Air baada ya kuzindua Safari  ya Ndege yao Zanzibar leo, ikitokea Oman na kuwasili saa 12.15 Asubuhi Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume. Zanzibar.  
 KATIBU Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Dk. Vuai Lila  akizungumza katika sherehe za Oman Air katika Chakula cha Mchana kilichoandaliwa na Shirika hilo katika Hoteli ya Serena Shangani.
 VIONGOZI wa Oman wakimsikiliza Balozi Mdogo wa Sheikh Majid Ahmeid Al-Laaban   
 BAADHI ya Wafanyakazi  wa Uwanja  Mashirika yanayotoa huduma katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar  wakijumuika katika tafrija hiyo Hoteli ya Serena

 WAALIKWA wakijipatia Msosi wa Uzinduzi hoteli ya Serena.  
 WAFANYAKAZI wa Hoteli ya Serena Shangali  wakiwa na Keki ya Uzinduzi wa Shirika la Ndege la Oman Air liloaza Safari zake Zanzibar leo, wakiingia na Dufu  
 KEKI Maalum ya Uzinduzi wa Shirika la Ndege la Oman Air ilioandaliwa kwa ajili ya Uzinduzi huo Hoteli ya Serena.  
 BALOZI Mdogo wa Oman Zanzibar akijumuika na Maofisa wa Shirika la Ndege la Oman Air wakikata Keki kuashiria kuzinduwa safari za Ndege za Oman Air Zanzibar katika Hoteli ya Serena.
 WAFANYABIASHARA wakiwa katika sherehe za Oman Air wakati wa chakula cha mchana hoteli ya Serena Shangani.
 MENEJA Kanda - Gulf. ME & Africa Ejaz Khan  akitowa shukrani kwa Serikali ya Zanzibar kwa Niaba ya Shirika lake wakati wa chakula cha Mchana kilichoandaliwa katika Hoteli ya Serena.   
BALOZI Mdogo wa Oman Zanzibar Shekh Majid Ahmeid Al- Laaban akibadilisha mawazo na Meneja Kanda ya Afrika Ejaz Khan.

1 comment:

  1. uwanja wa ndege kizaa ndani utasema ucku

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.