Habari za Punde

MKUTANO WA WATENDAJI WA SERIKALI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamd Shein,akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Abdulhamid Yahya Mzee,alipowasili katika Mkutano wa Uongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,siku ya pili huko Zanzibar Beach Resort,(katikati) i Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamd Shein,akibadilishana mawazo na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, katika Mkutano wa Uongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,siku ya pili huko Zanzibar Beach Resort .

 Katibu Mkuu Kiongozi Abdulhamid Yahya Mzee,akitoa mada kuhusu wajibu wa kiongozi kutokana  na nafasi zao,katika  Mkutano wa Uongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,ukiwa katika siku ya pili huko Zanzibar Beach Resort

Wajumbe wa Mkutano wa Uongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,kutoka taasisi mbali, za Serikali wakimsikiliza Mwenyekiti wa Mkutano huo,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamd Shein,alipokuwa akiendesha mkutano katika kujadili mambo mbali mbali ya kuleta mafanikio zaidi ya kukuza uchumi wa Nchi,na kuwataka wabadilike,katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort jana.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.