Habari za Punde

 RAIS wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akifungua pazia ikiwa ni ishara ya kufungua Msikiti wa kijiji cha Tunduni Wilaya ya kati Unguja. Msikiti umejengwa kwa ufadhili wa Bw Yakub Osman Sidik na Bw Adil Yakub Sidik
 RAIS wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuufungua Msikiti wa Tunduni
RAIS wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na waumini wa dini ya kiislamu waliohudhuria katika ufunguzi wa Msikiti huo ulioanza kujengwa 11/11/2010 na kumalizika tarehe 18/04/2011.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.