Makamu wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza naRais wa Mfuko wa Kuwait Ukanda wa Afrika, Sheikh Fahdi Mohammed Al-Shamri, wakati alipofikakumtembelea Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 15 na kufanya nayemazungumzo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mfuko huo kwa upande wa Tanzania, Samy Mohammed
Picha ya pamoja baada ya mazungumzo. Picha na Muhiddin Sufian. OMR
No comments:
Post a Comment