Habari za Punde

WATALII WAKIFANYA TARATIBU ZA KUJAZA FOMU KATIKA BANDARI YA ZANZIBAR.

 UTALII ukiongezeka kwa kasi  katika Visiwa vya Zanzibar kama  wanavyoonekana wakiwasili katika bandari ya Zanzibar  wakitokea Dar - es - Salaam wakifanya taratibu za kuingia Zanzibar kupitia  Idara ya Uhamiaji ya Zanzibar.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.