
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na mafunzo ya Amali, katika mfufulizo wa ratiba zake za kuzungumza na kila Wizara katika kuweka mikakati ya kuwaletea maendeleo Wananchi na kukuza Uchumi wa nchi.
No comments:
Post a Comment