Habari za Punde

MAHAFALI YA NANE YA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA CHWAKA ZANZIBAR.

Mgeni Rasmin Naibu Gavana wa Benki ya Tanzania Juma.H.J.Reli, akiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Fedha Chwaka Profesa Ali Seif Mshimba wakiingia katika viwanja vya Mahafali Chwaka.  
WAHITIMU wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha Chwaka Zanzibar, wakiingia kwa maandamano katika viwanja vya sherehe za Mahafali Chuoni hapo.  

Waheshimiwa wakipitia ratiba ya sherehe za Mahafali ya Nane ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha Chwaka, katika mahafali yake yaliofanyika katika viwanja vya Chuo. 
Mgeni Rasmin wa sherehe za Mahafali ya Nane ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha Chwaka, Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania  Juma.H.J.Reli, akitowa nasaha zake kwa Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Fedha Chwaka.   
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Fedha Chwaka Profesa Ali Seif Mshimba, akitowa maelezo ya mahafali hayo,
Mkuu wa Chuo cha Fedha Chwaka Kamal  Kombo, akitowa maelezo ya Chuo hicho kwa mgeni rasmini, wakati wa Mahafali ya Nane ya Chuo hicho yaliofanyika katika Viwanja vya Chuo Chwaka, Mkoa wa Kusini Unguja Wilaya ya Kati.   
Waalikwa katika Mahafali ya Nane ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha Chwaka, wakimsikiliza Mgeni rasmin, Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania. Juma.H.J.Reli, akitowa hutuba kwa Wahitimu wa Chuo hicho. 
Waalikwa katika Mahafali ya Nane ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha Chwaka, wakimsikiliza Mgeni rasmin, Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania. Juma.H.J.Reli, akitowa hutuba kwa Wahitimu wa Chuo hicho.

Baadhi ya Wazazi na Watoto wa Wahitimu wakifuatilia Mahafali ya Nane ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha Chwaka.

Wahitimu wa Shahada ya Cheti wakitunukiwa shahada yao na Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Juma.H.J.Reli.
 Mhitimu wa Shahada ya Technician Certificate Mcha King Rashid, akipokea Cheti chake kutoka kwa Mgeni wa Heshima Naibu Gavana wa Benki ya Tanzania Juma Reli.
Mwandishi wa Zanzibar Cable Kaali akiwa makini kuchukuwa matukio katika Mahafali ya Nane ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha Chwaka Zanzibar.
 
 Bi Thurea Abass akimpongeza Mumewe baada ya kutunikiwa Shahada yake katika mahafali ya Nane ya Chuo cha Fedha Chwaka. 
WAHITIMU wa Basic Certificate ( NTA 4) in Financial Administration, wakimsikiliza Mgeni rasmini wa Mahafali hayo Naibu Gavana wa Benki ya Tanzania Juma Reli, akitowa nasaha zake, baada ya kuwakabidhi Vyeti vyao. 
WAHITIMU wa Ordinary Diploma (NTA Level 6) in Finnancial Administration, wakishangilia baada ya kutunukiwa Vyeti na Naibu Gavana wa Benki ya Tanzania Juma Reli, katika Mahafali ya Nane ya Chuo cha Usimamini wa Fedha Zanzibar.   
 Mhitimu Jumeu Hassan Thabit, akipokea Cheti chake cha Shahada ya Bachelor Degree in
 Wahitimu wakiweka sawa kofia zao kuashirika kutunukiwa Shahada zao katika mahafali yao ya Chuo Chwaka.  
 Mhitimu Omar Mtumwa Omar akiwakabidhi watoto wake Hajira na Hilda zawadi yake ya shilingi milioni moja na laki moja, ili kuwapa mavumba na wao waje kuwatesa wanafanzi weanzao wanapokuwa Skulini na Chuoni.katika viwanja vya Chuo Chwaka wakati wa Mahafali ya Nane ya Chuo hicho.
 Mhitimu Bora kwa Jumla Omar Mtumwa Omari, akipokea zawadi yake ya Shilingi 1,100,000. kwa kuwa mwanafunzi bora kwa kufanya vizuri zaidi kwa masomo ya Auditing and Assurance, Managiment Accounting  and Control.na kupata udhamini wa kusomeshwa kozi ya CPA T.kupitia Chuo cha Usimamizi wa Fedha Chwaka Zanzibar.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.