Waliokuwa mabingwa wa soka wa Tanzania timu ya Malindi imerejeshwa Ligi Kuu ya Zanzibar baada ya Chama cha soka cha Zanzibar (ZFA) kukubali dai lao kutokana na kesi iliyofunguliwa Mahakamani na Malindi.
Habari ambazo tumezipata ZFA ni kwamba kesho watatangaza maamuzi hayo huku klabu ya Miembeni United ikitolewa kafara ili kuipisha Malindi.
No comments:
Post a Comment