Habari za Punde

MCHEZO WA WATOTO WA HADIMFUNDO.

Mdau unaufahamu mchezo huu, wa kuruka vyumba wa hadi mfundo ulikuwa ukichezwa na watoto wa umri huu miaka ya nyuma, kama alivyokutwa mtoto huyu akinukumbusha enzi zetu, tafauti na sasa watoto huacha michezo ya maana na kujihusisha na mabalaya ya kuiga na kuacha mila na desturi zetu. kazi kwako.    

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.