Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar. Abubakar Khamis Bakar, akiwasilisha rasimu mpya Katiba ya Tanzania kwa Wananchi katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni.
Wananchi waliohudhuria Mkutano wa kuchangia mabadiliko ya Katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania wakimsikiliza, Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibar Abubakari Khamis Bakari, akisoma mapendekezo ya mabadiliko ya Katiba.
Mwanchi akichangia Katiba Mpya
No comments:
Post a Comment