Habari za Punde

HARAKATI BIASHARA SOKONI DARAJANI.

 Mfanyakazi katika mariki Kuu ya Samaki Darajani ampasua Samaki aina ya Nduaro katika maeneo ya soko hilo, Samaki huyu ameuzwa Shilingi laki Tano, katika mnada wa samaki.  
Wafanyabiashara ya vitu mbalimbali marikiti kuu ya darajani, wakimsulubu kibaka anayetuhumiwa kuiba jiwe la mizani sokoni hapo na kutoweka nalo, baada ya kipigo hicho ilibidi kulitowa jiwe hilo kwa bnjia ya kiliangusha chini. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.