Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Fedha,Uchumi Mipango na Maendeleo Zanzibar Omar Yussuf Mzee, akiwahutubia Wafanyabiashara wa Zanzibar katika sherehe za Siku ya Mlipa Kodi Zanzibar, lililofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha, Uchumi Mipango na Maendeleo Omar Yussuf Mzee, akimkabidhi zawadi ya Cheti Mlipakodi Bora kwa Mwaka 2011, Kampuni ya Simu za Mkononi ZANTEL, Meneja Fedha Abdulwahid Talib, baada ya kampuni yake kuwa mlipa kodi bora Zanzibar.
Wafanyabiashara wa Zanzibar wakimsikiliza Waziri wa Fedha akitowa nasaha zake kwa Wafabiashara katika kuadhimisha siku ya Mlipa Kodi Zanzibar.
Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wakulima Zanzibar,Mbarouk Omar, akisoma risala ya Jumuiya hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Mlipa Kodi Zanzibar, ilifanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani.
Kamisha wa TRA Zanzibar, Mcha Hassan, akitowa maelezo kwa Wafanyabiashara katika siku ya Maadhimisho ya Mlipa Kodi Zanzibar.
Baadhi ya Wafanyabiashara wakisikiliza hutuba ya Waziri wa Fedha Zanzibar.
Mwakilishi wa Kampuni ya ROBERT ANTHONIO DEMMELO, Omar Haroub Yussuf, akipokea Cheti cha Kampuni yao kutoka kwa Waziri wa Ncho Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo, Omar Yussuf Mzee.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha Uchumi Mipango na Mwendeleo, Omar Yussuf Mzee, akimkabidhi Cheti Meneja Mkuu wa Hoteli ya MANZON'S HOTEL,Kapara Khamis Kapara.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha,Uchumi Mipango na Maendeleo Omar Yussuf Mzee, akimkabidhi Cheti Meneja Mkuu wa NOVA HOTEL LTD, Jacob,Moywaywa .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo, Omar Yussuf Mzee, akimkabidhi Cheti Mwakilishi wa Kampuni ya ZANZIBAR AVIATION SERVICES &TRAVEL TRADER LTD (ZATI), Seif J.Haji.
No comments:
Post a Comment