Habari za Punde

MAPINDUZI CUP YAZIDI KUTIMUWA VUMBI AMANI KATI YA KMKM NA JAMUHURI IMESHINDA 3-1

 Hapiti mtu hapa ndivyo inavyoonekana akisema beki huyu wa timu ya KMKM Saidi Khalid, akimkata mshambuliaji wa Jamuhuri Ali Othman.timu ya Jamuhuri imeshinda 3-1
 Beki wa timu ya KMKM Khamis Ali, akimzuia mshambuliaji w timu ya Jamuhuri Othman Ali, katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amani Jamuhuri 3-1
Kizazaa golini kwa timu ya KMKM.

 Mshambuliaji wa timu ya Jamuhuri Rashid Ali, akimpiga chenga golikipa wa timu ya KMKM Salum Amour, akigagaa majanini.  
 Wachezaji wa timu ya Jamuhuri wakisherehekea goli lao la tatu lililofungwa na Suleiman Ali.

 Golikipa wa timu ya KMKM Salum Amour, akidaka mpira ikiwa ni moja ya mashambulio galini kwake yaliofanywa na Jamuhuri.  
Mchezaji wa timu ya Jamuhuri Salim Suleiman (kulia) na mshambuliaji wa KMKM Tizzo Charles,wakiwania mpira katika michuano ya Kombe la Mapinduzi,tim,u ya Jamuhuri imeshinda 3-1.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.