Ofisa wa TRA,akirikodi namba za gari ambayo haijalipiwa stika ya TRA kwa kutoa huduma ya biashara ya kuchukuwa abiria, akiwa katika zoezi hilo katika kituo kikuu cha darajani.
Zoezi hilo limekuwa na usumbufu kwa abiria kukosa usafiri kwa sababu ya baadhi ya madereva ilibidi kuzificha gari zao kwa kuwakimbia maofisha hao wakifanya kazi zao za ukaguzi kwa magari ambayo mpaka sasa hayajalipi malipo hayo ya stika,.
Ofisa wa TRZ, akiwa na baadhi ya madereva na matingo wa daladala wakiwa katika kituo cha darajani , akiwa amelizuia gari ambayo haijalipiwa stika katika kipindi hichi cha mwaka 2012.
Ofisa wa TRA Zanzibar akikagua moja ya gari ya abiria katika katika zoezi la kukagua gari za abiria ambazo mpaka sasa zinafaya kazi bila ya kulipia Stika, zoezi hilo limefakatika kituo cha daladala darajani, ilibidi baadhi ya madereva kukatisha safari zao na kuishia njiani kwa kuwakimbia Mofisa hao, na kufanya hali ya Usafiri kuwa wa shida. inawabidi abiria kuka kwa muda mrefu vituoni kusubiri gari, kwa kuwakimbia maofisa hao.
No comments:
Post a Comment