Mdau wangu akiwa katika jiwe akijiendeleza na biashara ya matunda katika mitaa ya Rahaleo, inabidi vijana tujitume katika biashara ili tujikombeo kimapato na kiuchumi.
BENKI YA STANDARD CHARTERED YAHIMIZA AKIBA NA UWEKEZAJI KWA WANAFUNZI
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Benki ya Standard Chartered Tanzania imetoa elimu ya fedha kwa wanafunzi
zaidi ya 120 pamoja na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha...
22 minutes ago
0 Comments