Habari za Punde

Jengo Jipya la Uhamiaji Kilimani Zanzibar

Jengo Jipya la Idara ya Uhamiaji Zanzibar likiwa  katika maeneo ya Kilimani ( kiinuwa miguu) jirani na jengo la zamani.

1 comment:

  1. Jengo zuri la kuvutia kiukweli kitu kimetulia
    Zanzibar mpya tulioitarajia sasa inaanza kuonesha dalili zake inshalah tutafika tu na sisi tuwe na mji mzuri kama visiwa vya wenzetu duniani.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.