Habari za Punde

Mario Van Peebles ndani ya ZIFF




Kama umeshaitazama All Things Fall Apart ya 50 Cent yule jamaa aliyeigiza kama baba yake ndiye huyu Mario Van Peebles ambaye atakuwa mgeni  wa heshima wa ZIFF mwaka huu.

Kwa sasa ndiye the 'most prominent African-American-Latino director wa filamu duniani.

Akiwa Bongo atazindua filamu yake 'We the Party' pale Cinema Century, Mlimani City pesa itakayopatikana itatumika kusaidia miradi ya ZIFF. 


Van Peebles ameiwahi kuigiza katika filamu maarufu kama BAADAAAAAS, Panther, Ali, New Jack City, The Revenge ,Identity Crisis na nyingine nyingi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.