Habari za Punde

Tunapokea Matangazo, Matukio, Picha,Taarifa Tutumie

ZanziNews Blog inapokea matangazo ya misiba, harusi, picha za matukio  na pia kama kuna habari, taarifa ambayo wengine wataweza kunufaika nayo.

Tutumie kupitia othmanmaulid@gmail.com nasi tutaiweka kwenye blog.

Tunawashukuru nyote mnaotutembelea kila siku kupata yanayojiri huku na kule katika tasnia ya habari, matukio na picha na wale wote wanaotoa maoni yao yawe ya kukosoa, kurekebisha, kutengeneza, kudodosa pamoja na ya kupongeza almuradi tu wajitahidi kujiepusha na lugha isiyokuwa ya kistaarabu (matusi).

Shukran na tupo pamoja katika kuwaletea habari.

ZanziNews Admin  Team


2 comments:

  1. Inshaallah tupo pamoja

    ReplyDelete
  2. FALA KWELI WEWE JAMAA SI UENDE KWENYE MIHADHARA YA UAMSHO ,, AU KUNA KUCHOMA MIHADHARA YAO ,TOKEE UAMSHO WAANZE KUFANYA MIHADHARA YAO SIJAWAHI KUKUONA HATA SIKU MOJA KUWEKA MIKUTANO YAO,AU NDO NYIEE CCM WASIO ITAKIYA ZANZIBAR NEMA,
    AU NDO MMEAMBIWA NA MAMBWANA ZENU KUWA HABARI ZAO MSIANDIKE ,,,SISI WANZIBAR TULO MBALI NA HOME HABARI ZOTE TUNA ZIPATA KWA MITANDAO TOFAUTI ,AMBAYO HAINA CHOYO NA HABARI ,
    TAKE CARE BROO TUTAKUCHOMA MOTTO MWAKA HUU

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.