Habari za Punde

Mmoja wa Mzamiaji Ambaye amevunjika Mguu Wakati wa Harakati za Uokozi wa Ajali ya Meli ya Skagit

Mzamiaji katika zoezi la kuokoa Wananchi waliozama katika Skagit Iddi Abeid, akiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja akipata matibabu na kulazwa katika wodi ya mifupa baada ya kufunjia mguu katika zoezi hilo siku ya mwanzo wa uokoaji.

1 comment:

  1. Hizo pesa anazopokea Seif Idi asiwasahau na hawa waliojitolea kusaidia.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.