Mzamiaji katika zoezi la kuokoa Wananchi waliozama katika Skagit Iddi Abeid, akiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja akipata matibabu na kulazwa katika wodi ya mifupa baada ya kufunjia mguu katika zoezi hilo siku ya mwanzo wa uokoaji.
RAS ARUSHA AWEKA MKAZO KUIMARISHA UTALII NA KUONDOA URASIMU KWA WAWEKEZAJI
-
Na Pamela Mollel,Arusha
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Dk. Toba Alnason Nguvila, ameweka mkazo
katika kuimarisha sekta ya utalii mkoani humo kwa kuwat...
7 hours ago
1 Comments
Hizo pesa anazopokea Seif Idi asiwasahau na hawa waliojitolea kusaidia.
ReplyDelete