Habari za Punde

Dk Shein aagana na Balozi mdogo wa Msumbiji

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar Bernado Contantino Lidimba,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar Bernado Contantino Lidimba,alipofika Ikulu
Mjii Zanzibar kumuaga Rais.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.