Habari za Punde

Mkurugenzi Mkaazi wa FES Akutana na Naibu Katbu Mkuu wa CCM Zanzibar kumuga.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai , akizungumza na Mkurugenzi Mkaazi wa Shirika la Ujerumani la Friedrich Ebert Stiftung (FES) la Ujerumani, alipofika Afisini kwake kuja kumuaga baada ya kumaliza muda wake Tanzania na kumtambulisha Mkurugenzi mpya anayechukuwa nafasi yake,mazungumzo hayo yamefanyika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.   
 Mkurugenzi Mkaazi wa Shirika la Ujerumani la  (FES )Dk.Stefan, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar alipofika katika Ofisi yake kuja kumuaga na kumtambulisha Mr Rolf  Paasch ambaye anachukuwa nafasi yake mazungumzo hayo yamefanyika katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.kushoto Ofisa Miradi wa (FES ) Amon Petro. 
Mkurugenzi Mkaazin wa (FES) Dk.Stefan, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar alipofika katika Ofisi yake kuja kumuaga na kumtambulisha Mr Rolf  Paasch ambaye anachukuwa nafasi yake mazungumzo hayo yamefanyika katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar. 

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akisalimiana na Mkurugenzi Mkaazi wa FES Dk. Stefan  Chrobot, alipofika kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Tanzania na kumjulisha Mr. Rolf  ambaye anachukuwa nafasi yake. 
 Naibu Mkuu wa CCM Zanzibar  Vuai Ali Vuai katikati  na kushoto Mkurugenzi Mkaazi wa Frienrich Ebert Stiftung ( FES) Dk.Stefan Chrobot , ambaye anamaliza muda wake wa kazi Tanzania na nafasi yake kuchukuliwa na Mr.Rolf Paasch kulia. wakiwa nje ya jengo la Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar , wakiwa na Viongozi wa CCM . 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.