Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Wazazi pamoja na Walimu wa Wilaya ya Kati Dunga alipokuwa katika ziara yake ya kutembelea Maskuli mbalimbali ya Unguja na Pemba na kukutana na walimu pamoja na kamati za wazazi ilikutatua matatizo mbalimbali yanayokabili katika Maskuli hayo.
Baadhi ya Wazazi pamoja na walimu wa Wilaya ya Kati waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya amali Ali Juma Shamhuna huko Dunga wakati alipokuwa katika ziara yake ya kutembelea Maskuli mbalimbali ya Unguja na Pemba na kukutana na walimu pamoja na kamati za wazazi ilikutatua matatizo mbalimbali yanayokabili katika Maskuli hayo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Skuli ya Kiboje Haji Shaban Waziri akitoa mchango wake kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna hapo Dunga Wilaya ya Kati katika ziara ya kutembelea Maskuli mbalimbali ya Unguja na Pemba ilikutatua matatizo mbalimbali yanayokabili katika Maskuli hayo.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Huyu bwana ile ardhi ya skuli aloiuza kule kiwengwa imeishiaje ? au ndo hamna wa kumhukumu ? kwani Zanzibar hazijajengwa jrla za wakubwa bado , zipo za kina sisi tu !
ReplyDeleteMatatizo, ya elimu kushuka Zanzibar hatokani, kutotembelewa na waziri hili ni kutojipanga kwa serekali na jamii ya watu wa zbar wenyewe wamebaki kula umu wakati koso nilao
ReplyDelete