Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi Leo Bajeti ya Wizara ya Afya.

 Mhe. Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi akitoka katika ukumbi baada ya kuahirishwa kwa mapumziko ya mchana. 
 Mwakilishi wa Kwahani Ali Salim Haji na Mwakilishi wa Koani Mussa Ali Hassan, wakibadilishana mawazo baada ya kuahirishwa kikao cha asubuhi kuchangia bajeti ya Wizara ya Afya.
 Mhe. Ali Mzee Ali kushoto na Mhe. Salmin Awadhi wa Jimbo la Magomeni wakitoka katika ukumbi wa baraza na kubadilisha mawazo.  
 Waziri wa Afya Mhe.Juma Duni akizungumza na Naibu Waziri wake Dkt.Sira Ubwa, baada kusikiliza michango ya Wajumbe waliochangia katika Kikao cha Asubuhi kwa wizara yao, wakitoka katika ukumbi wa mkutanohuku wakibadilishana mawazo ili kukabiliana na majibu ya michango ya Waheshimiwa Wawakilishi wakati wa kupitisha Bajeti yao jioni leo.
 Mwakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jussa na Mwakilishi wa Kiembesamaki Mansoor Yussuf Himid, wakibadilishana mawazo wakiwa katika ukumbi wa baraza wakati wa mapumziko ya mchana. kujiandaa na kupitisha bajeti ya Wizara ya Afya jioni leo.
 Waziri wa Afya Juma Duni na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Sira Ubwa, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jidawi akitowa maelezo kwa Mabosi wake kutoka na michangio iliowasilishwa wakati wa kuchangia Bajeti ya Wizara ya Afya ili kupitisha bajeti hiyo.
 Mwakilishi wa Magomeni Salmin Awadh katikati akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoka kulia Mussa Ali Hasan na Ali Salum. wakimsikiliza.
 Waziri wa Afya Mhe. Juma Duni akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara yake baada ya kuahirishwa kikao cha asubuhi wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.