Habari za Punde

Dkt Shein Ahutubia Baraza la Eid Fitry Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika Baraza la Eid -Fitry lililofanyika katika Ukumbi wa Salama Bwawani, Zanzibar, na kuhudhuriwa na Waumini wa Dini ya Kiislam kuadhimisha Sikukuu ya Eid Fitry baada ya Mfungo wa Mwezi wa Ramadhani kumalizika jana.
Wananchi wakifuatilia Hutuba ya Baraza la Eid, ikisomwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Salama Bwawani.

 Viongozi wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Hutaba ya Baraza la Eid-Fitry, katika ukumbi wa Salama Bwawani.
 Viongozi wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Eid -Fitry katika ukumbi wa Salama Bwawani, wakati wav Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akihutubia Waumini wa Dini ya Kiislam na Wananchi waliohudhuria Baraza hilo katika ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar.
Wananchi wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Fitry katika ukumbi wa Salama Bwawani.  Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar katika ukumbi wa Salama Bwawani.
Viongozi wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Hituba ya Baraza la Eid Fitry.
 Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh Omar Kalbi, akisoma dua baada ya kumalizika kwa hutuba ya Baraza la Eid Fitry ilosomwa na Rais wa Zanzibar.na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akipokea Bwaride la Maalum la Baraza la Eid Fitry, katika viwanja vya Salama Bwawani Zanzibar.

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, na Wake wa Viongozikushoto Mama Asha Balozi Seif, Mama Zakia Bilal, Mama Shadya Karume, Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Utalii na Michezo Bihindi Hamad na Mama Asha Bilal.
Wananchi wakipata vitafunio baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid Fitry.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.