Habari za Punde

Huduma kwa Wananchi Mnazi Mmoja Hospital.


WANANCHI  wakiwa nje ya mlango kuu wa kuingia hospitali Kuu ya Mnazi mmoja, wakisubiri kupata ruhusa ya kuingia ndani ya jengo hilo kuonana na Madaktari, utaratibu huu umekuwa usumbufu kwa wagonjwa wanaofika katika hospitali hiyo, kupata huduma muhumu, kutokana na usumbufu wanaopata kutoka kwa walinzi wa hospitali hiyo

4 comments:

  1. hii ni dhuluma mojawapo miongoni mwa dhuluma , mogjnwa anatakiwa apokewe kwa upole na huruma , sio kuwapanga foleni nje wamesimama , jee wakianguka na kufa hapo kosa la nani?

    ReplyDelete
  2. Ah hiyo ndo Zanzibar mpaka mlinzi wa mlangoni nae umsujudie na hapo pengine utoe kitukidogo ndo upitishwe

    ReplyDelete
  3. Ndo maendeleo hayo?,

    ReplyDelete
  4. Haya ni matokeo ya watu kukataa kuchangia huduma mbali mbali kwa kisingizio kua Karume alisema itakua bure!

    Na bado, tutapanga foleni sana, kwasasa tushukuru Mungu kua baadhi ya maradhi sugu kama vile kansa na mengineo tunakimbilia MUHIMBILI na OCEAN ROAD pamoja na kua afya si suala la muungano, wakati wa utawala wa UWAMSHO sijui itakuwaje?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.