Mkutano wa wadau wa Bima ya Afya wafanyika Chake Pemba

 Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba , Meja Mstaafu, Juma Kassim Tindwa, akifunguwa mkutano wa Wadau wa Bima ya Afya  NHIF, huko katika Hoteli ya Hifadhi Pemba.
 .
Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya , Ali Othman, akizungunza jambo lwa Wadau wa Mfuko huo huko katika Hoteli ya Hifadhi Chake Chake Pemba , katika maadhimisho ya siku ya wadau .

.Mwenyekiti wa mkutano wa Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya , ambae pia ni Ofisa Tawala wa Mkoa wa Kusini Pemba, Hanuna Ibrahim Massoud, akifunga Mkutano huo huko katika Hoteli ya Hifadhi Chake Chake Pemba .
Mwandishi mwandamizi wa ZBC TV- Pemba, Nasra Moh'd Khatib, akichangia mada katika mkutano wa Wadau wa Bima yaTaifa ya Afya , huko hoteli ya Hifadhi Chake Chake Pemba , juu ya Humduma ya Uzazi kwa Wanachama wa Mfuko huoPICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.

Post a Comment

Previous Post Next Post