Mchezaji wa Timu ya Fufuni na KVZ wakiwania mpira katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ 2025/2026 mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong. Katika mchezo huo Timu ya Fufuni imeshinda kwa bao 1-0.
Kocha Mkuu wa Timu ya Fufuni akishangilia ushindi wa Timu yake wa bao 1-0, dhidi ya Timu ya KVZ mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ 2025/2026 uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong.










0 Comments