Kiungo Mshambuliaji wa Timu ya Yanga Pacome Zouzoua akijiandaa kumpita beki wa Timu ya As Far Rabat wakati wa mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliyofanyika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.Timu ya Yanga imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0 lililofungwa ma mshambuliaji Prince Dube, mchezo huo uliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.





























No comments:
Post a Comment