Habari za Punde

Kada wa 17 wa CCM Ndg. Khamis Mussa Omar Ajitokeza Kuchukua Fomu ya Urais wa Zanzibar.

Kada 17 wa Chama Cha Mapinduzi Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.Ndg. Khamis Mussa Omar ajitikeza kuchukua Fomu ya Urais wa Zanzibar kupitia CCM, hafla hiyo imefanyika leo katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia CCM Ndg. Khamis Mussa Omar, alipojitokeza kuchukua fomu hiyo leo katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar. 

Kada wa CCM Ndg. Khamis Mussa Omar akitoka katika jengo la CCM Afisi Kuu Kisiwandui Jijini Zanzibar  baada ya kukamilisha zoezi la uchukuwaji wa Fomu ya Urais wa Zanzibar kupitia CCM akielekea katika eneo lililotengwa kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari vilioko Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Ndg. Khamis Mussa Omar akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar baada ya kukamilisha zoezi la uchukuaji wa Fomu ya Urais wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.