Muonekano wa Jengo Jipya la Skuli ya Sekondari Kiwani lililojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na kufunguliwa leo 23-4-2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na
(kushoto) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali
Abdulgulam Hussein wakiondoa pazia
kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Jengo la Skuli ya Sekondari
Kiwani Wilaya ya Mkoani Pemba, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya sherehe
za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na
Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, wakisome maelezo ya
Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani, baada ya kukamilika
ujenzi wake, ikiwa shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya
Muungano wa Tannganyika na Zanzibar,ufunguzi huo iliofanyika leo 23-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari Kiwani
Wilaya ya Mkoani Pemba na (kushoto kwa Rais) Mke wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
na (kulia kwa Rais) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali
Abdulgulam Hussein na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mattar Zahor Masoud, wakati
wa shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika
na Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwanafunzi wa Kidatu cha Nne wa
Skuli ya Sekondari Kiwani Abdulhalim Muhdar Hassan, wakati akitembelea moja ya Maabara
ya Skuli hiyo, baada ya kuifungua leo 23-4-2024, ikiwa ni Shamrashamra za
sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na
(kulia kwa Rais) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali
Abdulgulam Hussein na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
wakitembelea Madarasa ya Skuli ya Sekondari Kiwani Wilaya ya Mkoani Pemba,baada
ya kuifungua rasmin leo 23-4-2024, wakati wa Shamrashamra za sherehe za
Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza
Mwanafunzi wa Kidatu cha Kwanza wa Skuli ya Sekondari Kiwani Yussuf Iddi Bakari,
wakati akitembelea moja ya Madarasa ya Skuli hiyo, baada ya kuifungua leo
23-4-2024, ikiwa ni Shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Elimu
na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein na Katibu Mkuu wa
Wizaha ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg.Khamis Abdalla Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Wanafunzi wa Kidatu cha Kwanza wa Skuli
ya Sekondari Kiwani, akipata maelezo ya Kitaalamu kutoka kwa Katibu Mkuu wa
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg.Khamis Abdalla Said (hayupo
pichani) baada ya kuifungua Skuli hiyo leo 23-4-2024, ikiwa ni Shamrashamra za
sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (kulia
kwa Rais) Mwanafunzi Yussuf Iddi Bakari na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam
Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk,Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakizungumza
na Mwanafunzi wa Kidatu cha Kwanza wa Skuli ya Sekondari Kiwani Yussuf Iddi
Bakari, wakiwa katika moja ya madarasa ya Skuli hiyo baada ya kuifungua rasmin
leo 23-4-2024, wakati wa Shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa
Skuli ya Sekondari Kiwani Pemba Wilaya ya Mkoani, wakati wa shamrashamra za
sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ufunguzi
huo uliyofanyika leo 23-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa
Skuli ya Sekondari Kiwani Pemba Wilaya ya Mkoani, wakati wa shamrashamra za
sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ufunguzi
huo uliyofanyika leo 23-4-2024
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa
na Viongozi wa Serikali akifuatilia hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya
Kiwani Pemba, wakati wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Skuli hiyo, baada ya
kuifungua rasmin leo 23-4-2024.Ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho
ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
MWANANCHI wa Kijiji cha Kiwani Wilaya ya
Mkoani Pemba Omar Talib Abdalla akifuatilia hafla ya ufunguzi wa Skuli ya
Sekondari Kiwani Pemba wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla
hiyo iliyofanyika leo 23-4-2024, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za
Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
WANANCHI wa Wilaya ya Mkoani Pemba wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) akihutubia katika ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani,
wakati wa shamrashamra za sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar,ufunguzi huo uliofanyika vleo 23-4-2024
WANANCHI wa Wilaya ya Mkoani Pemba wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) akihutubia katika ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani,
wakati wa shamrashamra za sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar,ufunguzi huo uliofanyika vleo 23-4-2024
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akikabidhiwa zawadi maalum kutoka kwa Wanachi Kiwani Pemba,akikabidhiwa na Bi.Mrashi
Haji Faki, baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari
Kiwani Wilaya ya Mkoani Pemba, iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa Shamrashamra za
sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
No comments:
Post a Comment