Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela zawadi ya kikombe  alipokwenda nyumbani kwa Mheshimiwa Malecela eneo la Uzunguni jijini Dodoma kumtakia heri   ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa , Aprili 19, 2024. Katikati ni mke wa Mzee Malecela Ambaye pia ni Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela zawadi  alipokwenda nyumbani kwa Mheshimiwa Malecela eneo la Uzunguni  jijini Dodoma kumtakia heri   ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa, Aprili 19, 2024.Katikati ni mke wa Mzee Malecela Ambaye pia ni Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela  alipokwenda   nyumbani kwa Mheshimiwa Malecela eneo la Uzunguni jijini Dodoma kumtakia heri  ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa, Aprili 19, 2024. Kulia ni mke wa Mzee Malecela Ambaye pia ni Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:
Post a Comment