Habari za Punde

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Wapatiwa Mafunzo Elekezi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameshiriki katika Mafunzo elekezi kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar yanayofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Kwanza Resort iliyopo Kizimkazi Mkunguni, Mkoa wa Kusini Unguja.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR )

Tarehe 16.11.2025.





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.